Elimu Bora
Walimu wenye uzoefu na mfumo unaomsaidia kila mwanafunzi kufanya vizuri.
Shule ya kisasa ya bweni inayojenga ufaulu, nidhamu, kujiamini na uwezo wa vitendo kwa wavulana na wasichana.
Tunachanganya mafanikio ya kitaaluma, malezi yenye maadili na stadi za vitendo katika mazingira salama ya kujifunzia.
Walimu wenye uzoefu na mfumo unaomsaidia kila mwanafunzi kufanya vizuri.
Malezi ya heshima, uwajibikaji, kujiamini na tabia njema.
Mazingira salama ya bweni kwa wavulana na wasichana.
Miundombinu inayowezesha kujifunza kwa utulivu kila siku.
Huduma za msingi zinazopatikana kwa ustawi wa wanafunzi.
Vocational na entrepreneurship skills kwa maisha halisi.
BlueSky Secondary School ni shule ya kisasa ya bweni inayotoa elimu ya Sekondari na Mkondo wa Amali. Tunamlea mwanafunzi kitaaluma, kimaadili na kwa stadi za maisha.

Mwelekeo wetu unaunganisha mafanikio ya kitaaluma, tabia njema na uwezo wa mwanafunzi kujiamini katika maisha.
BlueSky Secondary School ni shule ya kisasa ya bweni inayotoa elimu ya Sekondari na Mkondo wa Amali. Tunamlea mwanafunzi kitaaluma, kimaadili na kwa stadi za maisha.
Kutoa elimu bora, malezi yenye maadili na stadi za vitendo zinazomwezesha kila mwanafunzi kufikia uwezo wake.
Kuwa shule inayoongoza katika kujenga vijana wenye maarifa, nidhamu, ubunifu na uwezo wa kuleta mabadiliko chanya maishani.
Mpango wa malipo unaorahisisha mzazi kupanga gharama za elimu.
5 Oktoba – 11 Desemba 2026
TZS 150,000Habari, matukio, mafanikio na taarifa rasmi kutoka BlueSky Secondary School.
Pakua joining instructions, fomu za maombi na nyaraka nyingine zilizoidhinishwa na uongozi wa shule.
DOWNLOAD HAPA FORM YA MAOMBI
Hii ni form ya Maombi ya Kujiunga na Masomo kwa Pre-Form 1. Tafadhali ukishaipakua (download) ijaze na kisha itume kwa uongozi kwa kutumia namba za simu (whatsap) au kwa email. Namba ziko kwenye form husika
Tafadhali pakua fomu yenye maelekezo na mahitaji mbalimbali ya kujiunga na kidato cha I mwaka 2027
Gundua maisha ya kujifunza, malezi na ukuaji katika familia ya BlueSky.










Mchango wako unasaidia kuboresha mazingira ya kujifunzia, vifaa na fursa kwa wanafunzi. Tumia account rasmi iliyoonyeshwa hapa tu.
Fomu hii ni ombi la awali la udahili. Baada ya kutuma, utapokea namba ya kumbukumbu na timu ya shule itawasiliana nawe kuhusu hatua inayofuata.
Kilomita 35 kutoka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, kando ya barabara ya Kigoma–Kasulu, jirani na Seminari ya Iterambogo, Kata ya Matendo.