P.O. Box 868, Kigoma • Reg. No. S.8672+255 748 339 881   blueskykigoma@gmail.com
BLUESKYSECONDARY SCHOOL
Udahili unaendelea • Form One 2027

Elimu inayomwandaa mwanafunzi kwa maisha.

Katika BlueSky, ufaulu wa darasani unaenda sambamba na maadili, nidhamu na stadi za vitendo—katika mazingira salama ya bweni kwa wavulana na wasichana.

Full Boarding Boys & Girls Vocational Skills
BLUESKY ADMISSIONSOPEN

Nafasi za Masomo 2027

Fanya ombi la awali kwa dakika chache. Timu yetu ya udahili itawasiliana nawe.

FullBoarding School
Form 1Admissions 2027
TZS 1.6MKwa mwaka
4Awamu za malipo
Anza maombi
Form I–VIIElimu ya Sekondari
Full BoardingWavulana & Wasichana
Academic + VocationalMaarifa na stadi za kazi
KigomaTanzania
Uzoefu wa BlueSky

Msingi imara kwa dunia inayobadilika.

Tunachanganya mafanikio ya kitaaluma, malezi yenye maadili na stadi za vitendo katika mazingira salama ya kujifunzia.

Elimu Bora

Walimu wenye uzoefu na mfumo unaomsaidia kila mwanafunzi kufanya vizuri.

Maadili na Nidhamu

Malezi ya heshima, uwajibikaji, kujiamini na tabia njema.

Full Boarding

Mazingira salama ya bweni kwa wavulana na wasichana.

Umeme wa Uhakika

Miundombinu inayowezesha kujifunza kwa utulivu kila siku.

Maji ya Kutosha

Huduma za msingi zinazopatikana kwa ustawi wa wanafunzi.

Stadi za Amali

Vocational na entrepreneurship skills kwa maisha halisi.

Learn for Life

Zaidi ya darasa. Maandalizi ya maisha.

BlueSky Secondary School ni shule ya kisasa ya bweni inayotoa elimu ya Sekondari na Mkondo wa Amali. Tunamlea mwanafunzi kitaaluma, kimaadili na kwa stadi za maisha.

Mazingira tulivu na salama Uongozi na malezi bora Ujuzi wa kazi na ujasiriamali Ufuatiliaji wa maendeleo ya mwanafunzi
Dhamira yetu

Elimu yenye kusudi na matokeo.

Mwelekeo wetu unaunganisha mafanikio ya kitaaluma, tabia njema na uwezo wa mwanafunzi kujiamini katika maisha.

Kuhusu BlueSky

BlueSky Secondary School ni shule ya kisasa ya bweni inayotoa elimu ya Sekondari na Mkondo wa Amali. Tunamlea mwanafunzi kitaaluma, kimaadili na kwa stadi za maisha.

Maarifa • Maadili • Nidhamu • Ujuzi • Uwajibikaji

Mission

Kutoa elimu bora, malezi yenye maadili na stadi za vitendo zinazomwezesha kila mwanafunzi kufikia uwezo wake.

Vision

Kuwa shule inayoongoza katika kujenga vijana wenye maarifa, nidhamu, ubunifu na uwezo wa kuleta mabadiliko chanya.

Ada na michango yote

TZS 1,600,000kwa mwaka • awamu nne

Mpango wa malipo unaorahisisha mzazi kupanga gharama za elimu.

Programu maalumu

Pre-Form One

5 Oktoba – 11 Desemba 2026

TZS 150,000
Newsroom & School Life

Machapisho ya hivi karibuni.

Habari, matukio, mafanikio na taarifa rasmi kutoka BlueSky Secondary School.

Machapisho yote

Machapisho mapya yanaandaliwa. Tembelea tena hivi karibuni.

Support BlueSky

Changia elimu. Jenga kesho.

Mchango wako unasaidia kuboresha mazingira ya kujifunzia, vifaa na fursa kwa wanafunzi. Tumia account rasmi iliyoonyeshwa hapa tu.

Kwa uthibitisho wa mchango, wasiliana na shule kupitia namba rasmi baada ya kufanya malipo.
TCB
250 4000000 32
ACCOUNT NAMEBLUESKY SECONDARY SCHOOL
CURRENCY / TYPETZS • CURRENT
BRANCHKIGOMA
Maombi ya udahili

Anza safari ya mwanao leo.

Fomu hii ni ombi la awali la udahili. Baada ya kutuma, utapokea namba ya kumbukumbu na timu ya shule itawasiliana nawe kuhusu hatua inayofuata.

1Jaza taarifa za mwanafunzi na mlezi.
2Pokea namba ya kumbukumbu.
3Timu ya udahili itawasiliana nawe.
Taarifa zako zinalindwaTunatumia taarifa hizi kwa mchakato wa udahili pekee.

Kwa kutuma fomu hii, unatuma ombi la awali—si uthibitisho wa nafasi.

Tulipo

Kigoma, Tanzania

Kilomita 35 kutoka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, kando ya barabara ya Kigoma–Kasulu, jirani na Seminari ya Iterambogo, Kata ya Matendo.